




Mapema leo Asubuhi, Jengo la Wizara ya
Mambo ya Ndani jijini Dar es Salaam lilinusurika kuwaka moto baada
ya kutokea cheche Za umeme ndani ya jengo hilo na kuzua taharuki kwa
watu Waliokuwemo ndani ya jengo hilo kabla ya Kikosi cha Zimamoto
kufanikiwa kuudhiti moto huo.
Na kalonga Kasati
Na kalonga Kasati
No comments:
Post a Comment