Sunday, 3 September 2017

Wafanya maandamano kuomba kuharakishwa kwa uchunguzi dhidi ya Netanyahu

Mandamano ya kuomba kuharikishwa kwa uchunguzi dhidi ya tuhuma za rushwa anazokanbiliwa waziri mkuu wa Israel Benjamini Netanyahu
Maelfu ya raia Israel yameandamana kuomba seriakali kuharakisha uchuguzi kuhusu tuhuma za rushwa zinazomkabili waziri mkuu wa Israel Benjamini Netanyahu.
Kwa mujibu wa vyanzo vya habari Israel, raia walikusanyika mbele ya makaazi ya  muendesha mashtaka mkuu wa Israel Avichai Mendelblit wamemuomba kuharakisha  uchunguzi dhidi ya tuhuma  za rushwa zinazomkabili waziri mkuu wa Israel.
Mbunge Erel Magait ambae anatoka katika upinzani pia alishiriki katika maandamano hayo.
Waziri mkuu wa Israel anakabiliwa na tuhuma za rushwa .

Wanasiasa wa upinzani na raia hao wanamtaka Benjamini Netanyaho.

No comments:

Post a Comment