Rais wa Somalia, Mohamed Farmajo atangaza janga la njaa kama maafa ya
kitaifa. Aitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za haraka.
Katika taarifa iliyotolewa jana na Ikulu ya Somalia, Rais Farmajo
amesema, kuna wajibu wa kuchukuliwa hatua za dharura za kibinadamu
katika maeneo yote yaliyoathiriwa na ukame.
No comments:
Post a Comment