Thursday 23 March 2017

Ujumbe wa aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na michezo Nape Nnauye

Image result for nape nnauye
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko Madogo kwenye baraza la Mawaziri ambapo sehemu ya mabadiliko hayo ni kumteua Waziri Mpya wa Habari, Sanaa, Utamaduni na michezo

Aliyekuwa Waziri wa Habari Nape Nnauye ameandika kupitia account yake ya Twitter ‘Ndugu zangu naomba TUTULIE! LEO mchana nitakutana na Wanahabari na tutalizungumza hili. Nitawaambia saa na mahali, kwasasa naomba TUTULIE!

No comments:

Post a Comment