Waziri wa Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa William Lukuvi akiwa na Balozi wa
Morocco Nchini Tanzania Mhe. Abdelilah Benryane wakati alipo mtembelea
ofisini kwake.
Balozi wa Morocco Nchini Tanzania
Mhe. Abdelilah Benryane akimueleza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo
ya Makazi, Mheshimiwa William Lukuvi jinsi Nchi yake ilivyofanikiwa
katika kukabiliana na makazi holela kwa kiasi kikubwa.
No comments:
Post a Comment