Friday 24 March 2017

Aliyekuwa rais wa Misri Hosni Mubaraka ameachiliwa huru

Aliyekuwa rais wa Misri Hosni Mubaraka ameachiliwa huru baada ya kuhudumia kifungo cha miaka kadhaa
Aliyekuwa rais wa Misri Hosni Mubarak ameripotiwa kuachiliwa huru baada ya kuhudumia miaka jela kufuatia maandamano yaliomng'atuwa mamlakani 2011.
Bwana Mubarak alikuwa akizuiliwa katika hospitali ya kijeshi mjini Cairo, lakini wakili wake aliiambia BBC kwamba sasa ameruhusiwa kurudi nyumbani kwake mjini humo.

No comments:

Post a Comment