Saturday 25 March 2017

kituo cha mafuta cha Gapco chabomolewa

Sehemu ya Kituo cha Mafuta cha Gapco kilichopo karibu na kamata jijini Dar ikibomolewa mapema leo kwa kuwa ndani ya eneo la reli.Zoezi hilo ambalo limeanza hivi karibuni linaendeshwa na kampuni ya reli Tanzania (TRL) dhidi ya watu waliofanya maendelezo ndani ya eneo la reli.

No comments:

Post a Comment