Friday 24 March 2017

Quickrocka:'I don’t feel proud' kuwa Mtanzania

 Image result for Quickrocka
Msanii Quickrocka (Switcher Baba) amesema hawezi kujisifia kuwa raia wa Tanzania kuanzia sasa kutokana na kile anachokiamini yeye kutendeka ndivyo sivyo.
Hayo yamekuja baada ya muda mfupi Rais Magufuli kufanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na kumuweka pembeni Nape Nnauye aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
'I don’t feel proud' kuwa Mtanzania 'anymore'…Tunatangazaje na kusifia nchi ambayo viongozi wanaosimamia ukweli na sheria wanaondolewa…Huku wanaozingua wanaendelea kupeta. Nape alikua Waziri sahihi kabisa kwetu wasanii,wanamichezo na Wanahabari". Ameandika msanii huyo
.

No comments:

Post a Comment