Tuesday 21 March 2017

Hotel ya familia ya Mange Kimambi kupigwa mnada


Wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi imetangaza kupiga mnada viwanja ambavyo havijalipiwa kodi ya pango.-Imo hoteli ya Triz Motel inayomilikiwa na familia ya Mange Kimambi.
Jamani hii Triz Motel si ya familia ya Mange Kimambi hii? Kweli matajiri watoto (kaka zake Mange) wanashindwa kulipa kodi ya Ardhi?Eneo kubwa sana lile halafu liko barabarani halafu mtu analichezeachezea hadi linapigwa mnada?Magufuli has decided to sell my family’s hotel which I have 25% ownership in #4 .By the way my family hawajui anything about this. Ni Mimi ndo nimefanya kuwaambia Sasa hivi kwa message kubwa Magu anauza hotel eti tunadaiwa kodi ya ardhi. Yani ni kichekesho cha mwaka…… Hawana barua Hata moja ya kuambiwa wakalipe chochote ardhi. Na nilimake sure wanalipa kodi vizuri ili tusimpe sababu.
Mzee wewe uza mpaka nyumba za babangu zooooote, fanya lolote lile as long as utaniacha Hai sitokuachaaaaaaaaMnakumbuka niliwaambiaga kuwa Hata Dr Mwele alimtumbua kwa ajili yangu na hamkuamini I think Leo mmeamini….. Dr. Mwele alikuwaga ananiambiaga kila siku Mange naomba umuache Huyo mzeee atanifukuza kazi. And he did…. Na familia yangu walikuwa wananiambia Mange muache Huyo Mzee atatufanyizia.

No comments:

Post a Comment