Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akifariji Mama Jannet Kahama, Mjane wa Marehemu, George Kahama wakati
alipokwenda kuhani msiba nyumbani kwa marehemu, Mikocheni jijini Dar es
salaam, Machi 17, 2017. Wengine pichani ni wanafamilia.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mama Jannet Kahama, Mjane wa Marehemu, George Kahama
wakati alipokwenda kuhani msiba nyumbani kwa marehemu, Mikocheni
jijini Dar es salaam, Machi 17, 2017. Wengine pichani ni wanafamilia.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Joseph Kahama, mtoto wa marehemu George Kahama wakati
alipokwenda nyumbani kwa marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam
kutoa pole kwa familia Machi 17, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment