Akikabidhi msaada huo leo, Mbunge wa Vitu Maalum Chadema, Suzan Lyimo amesema msaada huo ni pamoja na kifaa cha kuwekea nguo za wagonjwa chenye thamani ya Sh 600,000.
"ORCI ni hospitali pekee inayohudumia kwa wingi wagonjwa wa saratani na asilimia kubwa ya waathirika ni wanawake, hivyo tumetoa msaada huu leo hapa lakini ndani ya wiki hii tutatoa msaada mwingine wa Sh300,000 kwa watoto katika Hospitali ya Taifa Muhimbili," amesema Lyimo.
No comments:
Post a Comment