Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
akizungumza na viongozi wa TAJATI (hawapo pichani) alipowatembelea
ofisini kwao kuona shughuli wanazozifanya leo Jijini Mbeya.Baadhi
ya viongozi wa TAJATI wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (hayupo pichani)
alipofika katika ofisi zao kuona shughuli wanazozifanya na kuwapa
motisha wa kuandika habari za kiutafiti leo Jijini Mbeya.Mwenyekiti
wa TAJATI Bw. Ulimboka Mwakilili (kushoto) akifafanua jambo kwa Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
alipotembelea ofisi za TAJATI kuona shughuli wanazozifanya leo Jijini
Mbeya. Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipokea
zawadi ya kikombe kutoka kwa mtunza fedha wa Chama cha Waandishi wa
Habari za Utalii na Uwekezaji Tanzania (TAJATI) Bi. Brandy Nelson
alipowasili katika ofisi zao kuona shughuli wanazozifanya leo Jijini
Mbeya.Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisoma
kipeperushi Alichopewa na Chama cha Waandishi wa Habari za Utalii na
Uwekezaji Tanzania (TAJATI) ili kuweza kujua kazi wanazozifanya leo
Jijini Mbeya alipowatembelea na kuwataka kuendela kuandika habari za
kiutafiti ili kuboresha fani ya uandishi wa habari. Kushoto ni
mwenyekiti wa TAJATI Bw. Ulimboka Mwakilili na kulia ni makamu
mwenyekiti TAJATI Bw. Christopher Nyenyembe.Makamu Mwenyekiti TAJATI Bw. Christopher Nyenyembe (kushoto) akimuonyesha
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
moja ya ofisi wanayoiandaa kwa ajili ya Matumizi ya studio ya kurushia
matangazo alipotembelea ofisi zao kuona shughuli wanazozifanya leo
Jijini Mbeya.Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
(katikati) akizungumza na Viongozi wa Chama cha Waandishi wa Habari za
Utalii na Uwekezaji Tanzania (TAJATI) Alipowasili katika ofisi zao kuona
kazi wanazozifanya leo Jijini Mbeya.Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
(katikati) katika picha ya Pamoja na baadhi ya viongozi wa Chama cha
Waandishi wa Habari za Utalii na Uwekezaji Tanzania (TAJATI) baada ya
kuzungumza nao leo Jijini Mbeya.
No comments:
Post a Comment