Rais Benigno Aquino III amesema kuwa Magaidi hao ambao Walimuua na kumkata kichwa John Ridsdel Jumatatu ya wiki hii, Walikuwa na mpango wa kumteka Manny Pacquiao Pamoja Na kumuua Rais huyo.
Alisema kuwa mpango wa kumteka Manny Pacquiao ulikuwa Umejikita katika Hatua zao za kujipatia fedha kutoka kutoka Serikalini pamoja na kuungwa mkono kwa kupata fedha kutoka katika kundi la ISIS.
Mbali na Mpango huo, Rais wa Ufilipino alieleza kuwa magaidi hao Walifanya Shambulizi kubwa la Bomu katikati ya jiji la Manila.

Rais Aquiano ambaye kipindi chake cha uongozi kinamalizika mwezi Juni mwaka huu Amewahakikishia wananchi wa Ufilipino kuwa atahakikisha analidhoofisha kadri iwezekanavyo kundi hilo la kigaidi.
No comments:
Post a Comment