Jino kubwa la
nyangumi limepatikana ufukweni Australia, na kuwa thibitisho la kwanza
kwamba Nyangumi wakubwa hatari sana waliishi mbali na Amerika.
Alilikabidhi kwa makumbusho ya Victoria, ambayo yalianza kulionesha kwa umma Alhamisi.
Inakadiriwa kwamba nyangumi mwenye jino hilo aliishi zaidi ya miaka milioni tano iliyopita. Alitoka kwa aina ya nyangumi ambao siku hizi hawapatikani duniani.
Nyangumi hao wanaaminika kuwa watangulizi wa nyangumi wakubwa wa sasa wajulikanao kwa Kiingereza kama "sperm whales".
Hadi kupatikana kwa Jino hilo Beaumaris, visukuku vya nyangumi wakubwa vilikuwa Vinapatikana pwani ya Magharibi ya mabara ya Amerika Kusini na Amerika Kaskazini.
Makavazi hiyo imesema Nyangumi Mwenye Jino hilo Huenda
No comments:
Post a Comment