Friday, 1 April 2016

Kamishna Mkuu Mstaafu Wa TRA Harry Kitilya na Wafanyakazi Stabic Benki Wamefikishwa Mahakamani

Kamishna Mkuu Mstaafu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya (kati) sambamba na Waliokuwa Wafanyakazi wa Benki ya StanBic Tanzania, Sioi Sumari (kushoto) na Shose Sinare (kulia), wakiwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Wakisubiri kusomewa Mashtaka Yanayowakabili, leo Jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment