fofam-media

ad

ad

Pages

  • MWANZO
  • HOTELI NA UTALII
  • ELIMU
  • MICHEZO
  • BURUDANI
  • MAZINGIRA
  • KILIMO
  • KUHUSU SISI
  • WASILIANA NASI

Friday, 1 April 2016

Bondia Adrien Broner apokonywa Taji


Adrien Broner
Bondia Adrien Broner wa Marekani amepokonywa Taji lake la WBA uzani wa Light Welter Weight Baada ya kushindwa kujipima kwa Maandalizi ya pigano lake Dhidi ya Muingereza Ashley Theophane Siku ya Ijumaa.

Broner Mwenye Umri wa Miaka 26 alikuwa na Uzito wa 140.4 na alikuwa na Saa Mbili kupunguza Uzito huo lakini akashindwa Kurudi katika Upimaji huo.

Alitarajiwa kutetea Taji lake Dhidi ya Theophane Mjini Washington.
Hatahivyo Pigano hilo litaendelea na ni Bondia huyo wa Uingereza Atakayeruhusiwa kuchukua Ukanda huo iwapo atashinda.

Ni Mara ya pili kwa Broner kupokonywa taji lake.
Alipoteza Taji Jingine la WBO uzani wa Super Featherweight Mwaka 2010 kwa Kushindwa Kufikia Mahitaji ya Uzani wa Pigano Dhidi ya Vicente Escobedo.
Posted by FOFAM MEDIA at 06:38
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Search This Blog

My Blog List

adv

adv
HARBOUR VIEW

MEZANI

MEZANI
UKABILA NI DHAMBI YA UBINAFSI

KULA DONA KWA AFYA YA MWILI WAKO

KULA DONA KWA AFYA YA MWILI WAKO
NAMBA YA SIMU 0784300020

food reserve

food reserve
national food reserve agency

kalonga kasati Blogger

kalonga kasati Blogger
0718684043 Email.kalongakasati@gmail.com

EQUITY BANK

EQUITY BANK
HATUMI BANDO

ungana nasi kwenye facebook

  • FOFAM FASHION
  • FOFAM CONSULTING
  • FOFAM AGRIOROJETS INITIATIVE
  • FOFAM FOOD LOGIC
  • FOFAM MEDIA

Je, wajua.......?

  • ... kwamba McDonald Mariga ni mchezaji wa mpira kutoka Kenya ambaye anaichezea kilabu cha Parma.
  • ... kwamba Ngorongoro imepokelewa katika orodha ya urithi wa dunia ya UNESCO?

AGITF

AGITF
AGITF

library

library

TAFUTA BLOG HII

WALIOTEMBELEA

Followers

MACHAPISHO MAPYA


Recent Posts Widget

YALIYOSOMWA ZAIDI

  • Madhara ya kula Mayai mabichi
      Mayai ni moja ya vyakula vyenye viini lishe muhimu kwa ajili ya afya ya mwili wa binadamu. Kwa kawaida mayai kabla ya kuliwa, huandali...
  • Jinsi ya kuandika barua ya kuomba kazi
    Je ulishawahi kuandika barua ya maombi ya kazi na kutuma kwa waajiri wengi na wote au wengi ya hao hawakukujibu hata kama unaj...
  • Huzuni zatawala Mazishi ya Kinyambe Mkoani Mbeya
    Jeneza likiwa limebeba mwili James Kinyambe maarufu kama Kinyambe aliyefariki jana Mkoani mbeya 
  • Ziara ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Mkoani Njombe
    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa mpira wa shule ya sekondari ya Mpechi mjini Njombe Januari ...
  • Wanafunzi wa Lucky Vincent Nursery na primary school 32 wapoteza Maisha ajali ya costa wilayani Karatu
      Wanafunzi zaidi ya 20 wanahofiwa kupoteza maisha  katika ajali ya basi iliyotokea wilayani Karatu leo asubuhi.   kuwa basi hilo lilikuwa...

MAKTABA YETU

  • ►  2018 (3)
    • ►  April (3)
  • ►  2017 (3012)
    • ►  December (134)
    • ►  November (191)
    • ►  October (227)
    • ►  September (307)
    • ►  August (287)
    • ►  July (269)
    • ►  June (275)
    • ►  May (206)
    • ►  April (247)
    • ►  March (303)
    • ►  February (263)
    • ►  January (303)
  • ▼  2016 (3981)
    • ►  December (336)
    • ►  November (353)
    • ►  October (366)
    • ►  September (417)
    • ►  August (447)
    • ►  July (413)
    • ►  June (376)
    • ►  May (425)
    • ▼  April (345)
      • Basi la Kampuni ya Sabena limepinduka na Watu W...
      • Magazeti ya leo Jumapili 1 Mei 2016
      • Mr Blue amemtupia Shutuma Mbunge wa Mbeya Mjini Jo...
      • Mkuu wa Mkoa Dar es salaam Paul Makonda ameongoza ...
      • TPDC limekanusha Taarifa Zilizosambazwa katika Mit...
      • Tanesco Wamezindua Huduma Mpya Kwa Wateja Unaoitwa...
      • TCRA:Wafanyabiashara wa Simu
      • Kujuana Vizuri Kabla ya Kuanzisha Mahusiano
      • Hafla ya Kuagwa Kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbe...
      • Wolper:Nilikuwa Navaa Nguo za Kiume Kutokana na Wa...
      • Elizabeth Michael Maarufu kama Lulu amevishwa Pete...
      • Maswali Mengi Kuhusu Kifo cha Papa Wemba
      • Simon Group Inamiliki UDA Asilimia 51 na Serikali 49
      • Magazeti ya leo Jumamosi 3o April 2016
      • Rufaa ya Michael Platini Kuamuliwa Wiki Ijayo
      • George Weah:Nina Ndoto Kubwa za Kuubadilisha Mfumo...
      • TCRA: Baadhi ya Wauzaji wa Simu Wanatoa Punguzo Kw...
      • Mhe Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi amemnunl...
      • TID amefunguka kuhusu Mahusiano Yake na Wema Sepet...
      • Uwekezaji Kati ya Tanzania na Urusi
      • Kamshna Mstaafu TRA Harry Kitillya na Waliokuwa Wa...
      • Kipre Tchetche Yupo fiti Asilimia 100 Kuivaa Simba...
      • UVCCM:Magufuli Achwe Afanye Kazi Yake Asiingiliwe...
      • Mkuu wa Wilaya Ally Hapi Kinondoni ina Watumishi H...
      • Liverpool Kupindua Matokeo ya Villarreal
      • Usafiri wa Reli ya Kati Kuanza Safari Zake Mei Mos...
      • Jaji Mkuu Othumani Chande Mgeni Rasmi Siku ya Uhu...
      • Donald Trump Kuwa Gumzo Mitandao Baada ya Kukosea ...
      • Lemonade ya Beyonce kuzua Gumzo kuhusu Mahusiano y...
      • Appointment to the Chairman and Vice charman Board...
      • Jeshi la Polisi Chunya Mkoani Mbeya Majambazi Wata...
      • Lady Jaydee - Ndi Ndi Ndi
      • Chama cha Wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA) Wam...
      • Man U Kumsajili Renato Junior Luz Sanches Kimya Kimya
      • Maafisa wa Serikali Watahudhuria Katika Mazishi y...
      • Pep Guardiola:Saul Niguez asifananishwe na Lionel ...
      • Bunge lilisimama kwa Dakika 36 Kutokana na Vipaza ...
      • Jacqueline Mengi amefunguka Kuhusu Majipu
      • Yanga Yaota Ubingwa Tanzania Bara ligi Kuu ya Vod...
      • Aliyekuwa Mkurugenzi wa TIC Julieth Kairuki Hakuc...
      • Wabunge Wametakiwa kubadilika na Kuacha Tabia ya k...
      • Serikali kupata Maoni ya Wananchi Kuhusu Marekebis...
      • Rais wa Ufilipino, Benigno Aquino III kueleza kuwa...
      • Ushahidi Dele Kumpiga Kiungo wa West Bromwich Umes...
      • Magazeti Ya leo Alhamisi 28 April
      • Said Miraji:ADC Kuna Watu Wenye Uchu wa Madaraka W...
      • Kesi 17 Kuamuliwa Jumapili hii
      • Snura:Nimerudi Tena na Chura katika Game
      • Boban Temi Kukosa Mechi ya Mtibwa Jumamosi hii
      • Mahakama Yafuta Shitaka Lilokuwalinamkabili Kamish...
      • Rais Dkt John Pombe Magufuli Amewaapisha Makatibu ...
      • Chicharito:Nilichagua Kujiunga na Leverkusen Nilio...
      • Man city Watoa Sare Baada ya Kiungo Wake David Sil...
      • Magazeti ya leo Jumatano April 27
      • Upepo Mkali Kuvuma Mpaka 29 Mwezi huu
      • Bodi ya TCRA Imevunjwa Kutokana Kuingia Mkataba na...
      • Je Tunaenzi Muungano Uliowekwa na Waasisi Wetu Hay...
      • Mke wa Rais Mstaafu wa Kenya, Mama Lucy Kibaki A...
      • Diamond:Kuondoka kwa Papa Wemba Pigo kubwa Sana Kw...
      • Deni la Taifa limeongezeka Kwa 27% Na Misamaha ya...
      • Mbivu na Mbichi leo Kujulikana Kati ya Yanga na Co...
      • Magazeti ya leo 26 april 2016
      • Masoud Kipanya Kusikika Jumatano hii Power Breakfa...
      • CAG amekabidhi Ripoti ya Ukaguzi wa Fedha 2016/20...
      • China Kujenga Reli ya Kati 2561 Kilomita
      • Lady Jay Dee:Ray c Anahitaji Marafiki Sahihi
      • Afisa Uchaguzi Wilaya ya Serengeti Bw Julius Bujab...
      • Mbwana Samatta amezidi Kushangaza Dunia
      • Historia ya Uchaguzi wa Mwaka Jana Hautafutika Vi...
      • Riyad Mahrez Ni Mchezaji Bora Uingereza
      • Jeshi la Polisi Mkoani Pwani limepoteza Askari wa ...
      • Prof Joyce Ndalichako:Waalimu na Maafisa Elimu Kus...
      • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Ma...
      • Mtanzania Edward Loure ameshinda Tuzo ya Mazingir...
      • Baloteli Huenda akaondoka Ac Milan
      • Msemaji wa polisi nchini Advera Bulimaba:Jamii ina...
      • Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhe Prof Makame ...
      • Nafasi za kazi NMB
      •    Na Tabu Mullah Mwanafunzi wa Mwaka wa...
      • Huyu ndo Mtangazaji Anayemkausha Koo Gardner G H...
      • Mwenyekiti wa UDP wa Mkoa wa Dar es salaam Na Mtwa...
      • Magazeti ya Jumatatu 25 April 2016
      • Obama:ni Makosa Makubwa Kuwatuma Wanajeshi Kumpind...
      • Historia ya papa Wemba hii Hapa
      • Mjue Demu wa Hemedi PHD wa Sasa
      • Ligi Ya Hispania ni Vita ya Magoli
      • Aliyekuwa Mfanyakazi wa TRA Kitengo cha Uhasibu al...
      • Ijue Timu ambayo itavaana na Yanga fc Katika Klabu...
      • Magazeti ya leo Jumapili 24 April 2016
      • Mbao FC Yapanda Ligi kuu Bara
      • PAC yaunda kamati ya Wabunge 9 Kuhakiki Ripoti ya ...
      • Mtoto wa Miaka 16 Kutoka Tanzania amehutubia Mbel...
      • Uganda Kutumia Bandari ya Tanga Kusafirisha Mafuta...
      • A Message from Tanzanian Young Mapper Getrude Clement
      • Getrude Clement akihutubia kwenye Baraza Kuu la UM
      • Getrude Clement (Youth Representative) High-level ...
      • Wanahabari Wanavyominywa Wasihabarishe Jamii na Wa...
      • Pluijim:Naamini Timu Yangu ina Nafasi Kubwa ya Ku...
      • Kitale:Sina Fedha za Kutosha kuanzisha Kundi langu...
      • Malaika:Kuandika Nyimbo ni Kipaji Sio Kila mtu ana...
    • ►  March (220)
    • ►  February (171)
    • ►  January (112)
  • ►  2015 (288)
    • ►  December (99)
    • ►  October (6)
    • ►  September (6)
    • ►  August (13)
    • ►  July (21)
    • ►  June (23)
    • ►  May (61)
    • ►  April (51)
    • ►  February (8)
  • ►  2014 (23)
    • ►  December (18)
    • ►  August (5)

SOMA KWA LUGHA YAKO

linki zetu

  • GREEN IRRITECH
  • MAGEZI FARMING ESTATE

TOA ODA YAKO HAPA

Name

Email *

Message *

BAJETI ZA WIZARA 2015/2016

  • ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
  • BAJETI MNRT
  • HOTUBA YA BAJETI-KILIMO

kilimo

kilimo
Soma vitabu vya uifadhi na usindikaji wa mazao ya chakula
protected by fofammedia.2016 All right reserved. Watermark theme. Powered by Blogger.