Alikiba:Siachi Muziki
“Mimi
ni Muislamu na ninajivunia kuwa hivyo nahisi ninakoelekea ni kubaya
zaidi ni kheri nijivue Mapema nitubie kwa niliyoyafanya” maelezo hayo ni kwamujibu wa ukurasa mmoja wa facebook Unaoitwa @Tanzania Yetu.
imemtafuta Kibabude ambaye ni Meneja wa Ali Kiba kuhusu ‘issue’ hiyo
ambapo Amebainisha kuwa habari hizo hazina ukweli wowote na kwamba Ali
Kiba hajawahi kufikiria kustaafu muziki na kuwataka mashabiki wapuuze
maneno hayo.
“Ali
hajafikiria wala kuwaza kuacha muziki kwa sababu kuna vitu vingi vya
kufanya Hatujawatendea haki wapenzi wetu hayo ni maneno ya watu”.
Meneja huyo ameweka wazi kuwa matarajio ya Kiba kwa sasa ni kuachia ngoma mpya ya Aje Mwezi ujao ambayo amefanya mwenyewe na itaambana na video aliyoifanya Bongo na South Africa.
No comments:
Post a Comment