Baadhi ya Watumishi wa shirika
la nyumba mkoa wa Arusha wakimsikiliza Naibu waziri Mabula alipotembelea
na kukagua nyumba zinazojengwa na shirika la nyumba hapo jana.
Baadhi ya Watumishi wa
shirika la nyumba mkoa wa Arusha wakimsikiliza Naibu waziri Mabula
alipotembelea na kukagua nyumba zinazojengwa na shirika la nyumba hapo
jana.
Meneja wa shirika la nyumba
(NHC) mkoa wa Arusha James Kisarika akitoa maelezo ya ramani ya mradi wa
nyumba na mji wa kisasa wa Safari city unaojengwa na shirika hilo
katika eneo la Mateves jijini Arusha .
Meneja wa shirika la nyumba mkoa
wa Arusha James Kisarika akimwonyesha Naibu waziri Mabula, eneo
linalotarajiwa kuwekeza majengo kwa ajili ya viwanda na biashara katika
mradi wa nyumba wa Safari City.
Naibu Waziri Angelina Mabula na
Viongozi mbalimbali wa shirika la nyumba na sekta ya ardhi wakipita
kukagua nyumba za mradi wa mji wa kisasa wa safari city jijini Arusha,
alipotembelea mradi huo hapo jana.
Naibu Waziri Angelina Mabula
akipewa maelezo na Meneja wa NHC mkoa wa Arusha James Kisarika
alipokagua jengo linalotarajiwa kuhamishiwa ofisi ya ardhi kanda ya
kaskazini inayohamia Arusha kutoka Moshi.
Naibu waziri Mabula akikagua kumbukumbu mbalimbali katika masijala ya Ardhi ya halmashauri ya jiji la Arusha.
Naibu Waziri Mabula akiongea
na Watumishi wa sekta ya Ardhi wa Halmashauri zote za Mkoa wa
Arusha,kulia kwake ni Kaimu katibu Tawala Mkoa na Mkurugenzi wa jiji..
Naibu waziri wa Ardhi,
Nyumba na maendeleo ya makazi Angelina Mabula akitoa maelekezo ya
uboreshaji wa miradi inayotekelezwa na shirika la nyumba nchini,
alipotembelea mradi wa nyumba wa Safari City Arusha.
Naibu waziri wa Ardhi, nyumba,
na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula akiwa katika picha ya pamoja na
viongozi na watumishi walioambatana naye kukagua mradi wa nyumba safari
City jijini Arusha jana.
Naibu waziri wa Ardhi,
Nyumba, na mendeleo ya makazi Angelina Mabula akikagua mifumo ya ulipaji
kodi ya ardhi alipotembelea halmashauri ya jiji Arusha, kulia kwake ni
mkurugenzi wa jiji Athuman Kihamia .
Sehehemu ya Nyumba za
gharama nafuu zinazojengwa na Shirika la nyumba nchini (NHC) katika mji
wa kisasa wa safari city, jijini Arusha, nyumba hizo zinatarajiwa kuuzwa
zitakapokamilika.
No comments:
Post a Comment