Monday, 2 May 2016

Joto lililoboreshwa limeanza leo Mei 02 2016 Wakiwa Wapiganaji Wapya Gerland hando PJ

13129404_1736466733267769_1019106413_n 

 katika kufanya Maboresha kipindi cha asubuhi cha Joto la asubuhi kimekuja Na Majina Tofauti ya vipengele kama kona zote Sasa inaitwa lamgambo Annterna kunyambua katika Magazeti na leo walikuwa Wanatambulisha kesho ndo Rasmi kuleta Mapinduzi makubwa katika Vipindi vya Asubuhi

Gerald Hando, Adella Tillya na Paul James wakiwa nje ya Jengo la K-Net Akiendesha kipindi chao live

Kwa siku nyingi wapenzi wa Redio Walikuwa wakiwasubiri kwa hamu Gerald Hando na Paul James waliohamia EFM kuona wana kipya gani.

Leo, May 2, wawili hao wameanza kwenda Hewani kupitia kipindi cha Joto la Asubuhi. Aliyekuwa mtayarishaji wa kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM walikokuwa wawili hao, Abel Onesmo naye ameungana nao.


Hata hivyo wawili hao wameanza kazi kwa Mtindo wa aina yake. Kipindi cha Joto la Asubuhi kimezinduliwa upya kwa Matangazo kurushwa live nje ya Jengo la K-Net zilipo studio zake Maeneo ya Maringo – Kona ya Kawe. 

No comments:

Post a Comment