Wachezaji
wa timu ya Real Madrid wakishangilia mara baada ya kuwafunga wapizani
wao Atletico Madrid katika mchezo wa fainali ya klabu bingwa ya Ulaya
UEFA Champions League uliofanyika kwenye uwanja wa San Siro Milan,
Italy uliomalizika usiku huu.
Dk 15, Ramos anaiandikia Madrid bao la kwanza kwa kuunganisha mpira wa kupara wa kichwa wa Bale
Ni dakika ya 12, Madrid wamefanikiwa kufanya angalau mashambulizi matatu lakini bado hakuna bao.
Dk 15, Ramos anaiandikia Madrid bao la kwanza kwa kuunganisha mpira wa kupara wa kichwa wa Bale
Ni dakika ya 12, Madrid wamefanikiwa kufanya angalau mashambulizi matatu lakini bado hakuna bao.
Inaonekana Madrid wana kasi zaidi wanapoingia upande wa Atletico.
Kila upande umeanza mechi kwa kasi na kunaonekana kuna presha kubwa.
Sasa ni Mapumziko timu zote
zimeingia vyumbani kwa ajili ya mapumziko ngoja tuone Kocha Zinedine wa
Real Madrid na Kocha Diego Simeone wa Atletico Madrid wataleta
mabadiliko gani katika kipindi cha pili kinachotarajiwa kuanza mara
baada ya dakika 15 za mapumziko.
Kocha Zinedine Zidane wa Real
Madrid akihamasisha wachezaji wake kucheza kwa kujituma katika mchezo wa
fainali dhidi ya mahasimu wao timu ya Atletico Madrid katika mchezo
wao unaofanyika nchini Italia hivi sasa Atletico Madrid wanakosa penati
ambayo imepigwa na mchezaji Antoine Griezmann baada ya mchezaji wa timu Real Madrid Fernado Torres kuanguswa katika eneo la hatari.
Lakini kwa sasa huenda Real
Madrid wakaongeza tena mashabulizi ili angalau kutoka na ushindi katika
mchezo huo na kuchukua uchampioni wa ligi ya klabu bingwa ulaya, Hata
hivyo si kazi rahisi ngoja tuone mwelekea wa mchezo unavyoenda katika
dakika 90 za mchezo huo.Lakini kwa sasa huenda Real
Madrid wakaongeza tena mashabulizi ili angalau kutoka na ushindi katika
mchezo huo na kuchukua uchampioni wa ligi ya klabu bingwa ulaya, Hata
hivyo si kazi rahisi ngoja tuone mwelekea wa mchezo unavyoenda katika
dakika 90 za mchezo huo.
Mchezaji
wa Atletico Madrid Yannick Ferreira Carrasco akishangilia mara baada ya
kufunga goli la kusawazisha katika dakika ya 89 ya mchezi kipindi cha
pili.
Mchezaji wa Carrasco wa Atletico
Madrid anaisawazishia goli timu yake katika dakika ya 89 ya mchezo na
matokeo kuwa Real Madrid 1-Atletico madrid -1, mpira umekwisha na
zinaongezwa dakika 30 , baada ya hapo kama hatapatikana mshindi timu
zitaingia katika uamuzi wa kupiga penati tano kila timu ili kupata
mshindi katika mchezo huo
PENATI ZINAPIGWA SASA
Sasa dakika 30 za nyongeza
zimekwisha timu zinaingia tena uwanjani kwa ajili ya kupiga penati 5
kila moja ukumbuke kwamba upigaji wa penati unategemea sana uwezo wa
magolikipa kuzuia penati langoni lakini poia upigaji mzuri wa penati kwa
wachezaji wa uwanjani hebu tungoje na tuone ni timu gani inao uwezo
katika penati lakini pia ni golikipa gani ana uwezo mzuri wa kuzuia
penati katika ya Keylor Navas wa Real Madrid na Jan Oblak wa Atletico
Madrid.
No comments:
Post a Comment