
Usafiri DART umekuwa mkombozi
kwa wasafiri wengi wa jiji la Dar es salaam wakati wanapotoka majumbani
mwao na kuelekea kazini na kurejea majumbani mwao,Katikati ni Bw. David Mwaibula aliyekuwa Mwenyekiti Mamlaka ya Usafiri wa Daladala Dar es salaam (DRTLA) zamani aliyeambatana na Waziri Mkuu kukagua mradi huo leo.












No comments:
Post a Comment