Aliyekuwa
mshambuliaji wa klabu ya PSG nchini Ufaransa Zlatan Ibrahimovic amesema
kuwa alipokea ombi la kujiunga na kilabu moja ya ligi ya Uingereza
lakini akakataa kuthibitisha iwapo klabu hiyo ni Manchester United au
la.
Alipoulizwa iwapo ombi hilo linatoka Old Trafford ,alisema :Wacha tuone kitakachofanyika.

No comments:
Post a Comment