Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli
akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard
Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye
kuendelea hadi mikoa ya Kigoma na Mwanza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiweka jiwe la msingi Ujenzi wa Reli
ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani
Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia majina ya baadhi ya
wataalamu mbalimbali waliohusika katika mchakato wa Ujenzi huo wa Reli
ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani
Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na Mwanza. Wakwanza kulia ni
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hodhi ya Rasilimali za Reli (RAHCO)
Masanja Kadogosa akiwa ameshika majina hayo.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
akichota mchanga na kuweka kama ishara ya kushiriki katika ujenzi huo wa
Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi
mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na Mwanza
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia kibao cha jiwe la msingi
cha Ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es
Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na Mwanza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mabarawa, Mama Janeth Magufuli wakimsikiliza
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa RAHCO Masanja Kadogosa wakati akielezea
kuhusu ujenzi wa Reli ya Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar
es Salaam hadi mkoani Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na
Mwanza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amechuchumaa kwenye mfano wa
Reli ya Kisasa (SGR) na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa
Makame Mabarawa, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa RAHCO Masanja Kadogosa,
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Miundombinu Profesa Norman Sigala mara
baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Reli hiyo, wengine katika
picha ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli pamoja na Hawa Ghasia (Mb)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mabarawa wakati akipita katika katika ya
mfano wa Reli hiyo itakayojengwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi
waliohudhuria sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Ujenzi wa Reli ya
Kisasa Standard Gauge itakayoanzia jijini Dar es Salaam hadi mkoani
Morogoro na baadaye kuendelea hadi Kigoma na Mwanza
Mfano wa Reli hiyo ya Kisasa ya
Standard Gauge SGR itakayojengwa kuanzia Dar es Salaam hadi Morogoro na
baadae kuendelea hadi mikoa ya Mwanza na Kigoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kaimu Mtendaji Mkuu wa
RAHCO Masanja Kadogosa wakati akielekea kuweka jiwe la Msingi ujenzi wa
Reli hiyo ya Kisasa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia kabla ya kuweka jiwe la
Msingi ujenzi wa Reli hiyo ya Kisasa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mufti Mkuu wa
Tanzania Shekhe Abubakary Zubeiry mara baada ya kuweka jiwe la Msingi
katika eneo la Pugu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza msanii Mrisho Mpoto mara
baada ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi huo wa Reli ya Kisasa Pugu
jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment