leo Antony Joshua Na Wladimir Klitschko Kuzichapa Wembley Stadium
Mashabiki wa masumbwi duniani wanasubiri kwa hamu pambano la uzito wa
juu kati ya bondia chipukizi wa wingereza Antony Joshua dhidi ya mkongwe
Wladmir Klitschko mchezo utakao chezwa Leo katika uwanja wa Wembley.
kuelekea mchezo huo mabondia hao walipata fursa ya kuongea na waandishi
wa habari na pia zoezi la kupima uzito kuelekea pambano lao la kuwania
ubingwa wa uzito wa juu wa dunia.
No comments:
Post a Comment