Maneno ya Nape kuhusiana na Vurugu za jana zilizotokea katika chama cha CUF
Jana Chama cha wananchi CUF kilifanya mkutano wake na waandishi wa
Habari maeneo ya Manzese Jijini Dare es Salaam ambapo walijitokeza watu
wasiojulikana na silaa na kuwapiga viongozi na wanachama wa chama hicho
pamoja na waandishi wa habari.
Sasa leo April 23 2017 kupitia ukurasa wa Twitter wa mbunge wa Mtama
Nape Moses Nnauye ameyaandika haya kuhusiana na vurugu hizo
zilizosababishwa na watu hao wasio julikana….Siasa ni ushindani wa HOJA
sio NGUVU! Tunaenda wapi huku jamani?! Wanavamia na kutoroka??!! How?!!
Siasa imevamiwa na manungayembe sasa” – Nape
No comments:
Post a Comment