Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha tatu cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo
na Uvuvi Mhe. William Ole Nasha akijibu hoja mbalimbali za wabunge
katika kikao cha tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Maliasili na
Utalii Mhe. Mhandisi Ramo Makani akijibu hoja mbalimbali za wabunge
katika kikao cha tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi
na Mawasiliano Mhe. Mhandisi Edwin Ngonyani akijibu hoja mbalimbali za
wabunge katika kikao cha tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini
Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais TAMISEMI katika kikao cha tatu cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akihutubia Bungeni leo kuhusu
mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na makadirio ya Mapato na
matumizi ya Fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa Fedha 2017/2018.
Picha zote na Raymond Mushumbusi WHUSM Dodoma.
No comments:
Post a Comment