Thursday, 20 October 2016

Habari Picha

41
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Sihaba Nkinga akifungua mafunzo ya siku moja kwa waandishi  wa habari kuhusu maandalizi ya Uzinduzi wa Mpango Kazi wa Kuzuia Ukatili utakaotekelezwa kwa kipindi cha 2017-2022
44
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Sihaba Nkinga akijadiliana jambo na  Mwakilishi wa Shirika la UN Women Tanzania Bi. Maria Karandenizli  wakati wa mafunzo  kwa waandishi  habari kuhusu uzinduzi wa Mpango Kazi wa Kuzuia Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto utakaotekelezwa kwa kipindi cha 2017-2022
43
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia jambo  wakati wa mafunzo  kwa waandishi  habari kuhusu uzinduzi wa Mpango Kazi wa Kuzuia ukatili dhidi ya wanawake na watoto utakaotekelezwa kwa kipindi cha 2017-2022
42
Mwakilishi wa Shirika la UN Women Tanzania Bi. Maria Karandenizli akiongea wakati wa mafunzo  kwa waandishi  habari kuhusu uzinduzi wa Mpango Kazi wa Kuzuia Ukatili dhidi ya Watoto na Watoto utakaotekelezwa kwa kipindi cha mwaka 2017-2022

No comments:

Post a Comment