Monday 17 October 2016

Habari Picha

sabu1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongea machache kwenye hafla ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
sabu2
Sehemu ya wafiwa kwenye hafla ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
sabu3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
sabu5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe wakiwapa pole wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
sabu6

sabu7 sabu8
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
sabu9
Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwapa pole wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
sabu10

sabu11
Makamu wa Rais Mstaafu Dkt Mohamed Gkalib Bilali, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John Kijazi na Meya wa Jiji la Dar es salaam Mhe. Isaya mwita wakitoa heshima zao za mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
sabu12
Mama Salma Kikwete akitoa pole kwa wafiwa baada ya kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Magufuli katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016
sabu13
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete na viongozi wengine wakiwa jukwaa kuu katika shughuli ya kutoa heshima za  mwisho na kuaga mwili wa Meya wa Dar es salaam wa zamani Dkt. Didas Masaburi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Oktoba 17, 2016

No comments:

Post a Comment