Ripoti na taarifa ya awali iliyolipotiwa na vyombo vya habari, inamnukuu mwanamke mmoja Raia wa Zambia aishie nchini China akiwatahadharisha Raia wengine wa Kiafrika kuwa Makini na Nyama wanazonunua kama chakula kutoka nchini China.
Mwanamke huyo amenukuliwa akiwataka watu kuacha kununua nyama za kopo zinazopakiwa nchini China.

No comments:
Post a Comment