Mwezi Machi ndege nyingine ililazimishwa kuelekea Cyprus
Ndege moja ya
shirika la ndege la Misri la EgyptAir, iliyokuwa ikitoka mji mkuu wa
Ufaransa Paris hadi Cairo, imetoweka kutoka kwenye mitambo ya rada.
Shirika hilo limesema kuwa ndege hiyo ilitoweka katika maeneo ya mashariki ya bahari ya Mediterranean, kilomita 16 ndani ya anga ya Misri.Moja kwa Moja: Ndege ya Misri yatoweka
Hakuna dalili zozote za kuwepo kwa hali mbaya ya anga.
Misri imetuma ndege za kivita kusaka ndege hiyo kwa ushirikiano na utawala wa Ugiriki.

No comments:
Post a Comment