Monday, 23 May 2016

Masha amempa pole Kitwanga



Waziri wa Zamani wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha alimpa pole Kitwaga akisema, hata yeye alikuwa anakunywa ndovu akiwa waziri lakini hakuwahi kutimuliwa.

 

  Masha anaamini ni zengwe tu ndani ya CCM na si ‘Gambe’ la kupitiliza.

Namuonea huruma Kitwanga kwa sababu alikuwa haijui CCM, kama ni pombe mbona hata mimi nilikuwa nakunywa ndovu, nakijua chama hicho nilianzia chipukizi, hata umoja wa vijana, lakini niliamua kutoka,” alisema Masha.

No comments:

Post a Comment