
Nyota huyo alienada jukwaani katika onyesho hilo lililofanyika ijumaa iliyopita kwenye mji wa Brooklym,Newyork,Marekani.
Katika tamashi hilo,Jay Z alijinadi kwa kuwapasha washiriki namna alivyoweza kupata mafanikio kwenye muziki,huku pia msanii mkongwe,Mary J.Blige naye akiteka jukwaa na kuimba na Jay Z kibao cha miaka tisini kinachojulikana kama Can’t Knock This Hustle na kuwateka mashabiki wengi.
No comments:
Post a Comment