
Zaidi ya wasichana 200 wa walitekwa nyara na Boko Haram zaidi ya miaka miwili iliyopita.
Wanaharakati nchini
Nigeria wanasema kuwa mmoja wa wasichana wa shule wa Chibok, waliotekwa
nyara na kundi la Boko Haram amepatikana, akiwa ndiye mtu wa kwanza
kukolewa kwa zaidi ya miaka miwili.

Kiongozi mmoja wa kijamii alisema kuwa msichana huyo alikuwa na mtoto na wote Wamekabidhiwa jeshi la Nigeria katika mji wa Damboa.
No comments:
Post a Comment