Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu
za Serikali(CAG) Prof Musa Assad akizungumza na waandishi wa
Habari(hawapo Pichani) kuhusu Ripoti ya Ofisi yake kwa mwaka wa Fedha
unaoisha 2015/2016 Leo Aprili 13,2017 Mjini Dodoma.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu
za Serikali(CAG) Prof Musa Assad na Mwenyeketi Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe.Naghenjwa Kaboyoka wakiangalia
moja ya kitabu cha Ripoti kutoka Ofisi yake wakati alipokutana na na
waandishi wa Habari(hawapo Pichani) kuhusu Ripoti ya Ofisi yake kwa
mwaka wa Fedha unaoisha 2015/2016 Leo Aprili 13,2017 Mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment