Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Spika wa Bunge Job Ndugai kabla ya kuanza kwa mkutano wa
wabunge wa kupeana taarifa (briefing) kwenye ukumbi wa bunge mjini
Dodoma Aprili 3, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Spika wa Bunge Job Ndugai kabla ya kuanza kwa mkutano wa
wabunge wa kupeana taarifa (briefing) kwenye ukumbi wa bunge mjini
Dodoma Aprili 3, 2017. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,
Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama.(Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment