Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson akiongoza kikao cha pili
cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa nchi Ofisi ya Rais
TAMISEMI Mhe. Suleimani Jafo akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika
kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango
Mhe. Dkt Ashatu Kijaji akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao
cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini
Mhe. Dkt. Medard Kalemani akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika
kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Maliasili na
Utalii Mhe. Mhandisi Ramo Makani akijibu hoja mbalimbali za wabunge
katika kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji
Mhe. Mhandisi Gerson Lwenge akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika
akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha pili cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jmahuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ajadiliana jambo na Mbunge wa
Chemba Mhe. Juma Nkamia katika akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika
kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiwa katika kikao cha pili cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Baadhi ya wabunge na Mawaziri wakifuatilia kikao cha pili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
Picha zote na Raymond Mushumbusi WHUSM Dodoma.
No comments:
Post a Comment