Ibada ya Pasaka
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akisali ibada ya Pasaka katika Kanisa la Mtakatifu Petro jijini Dar es
salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na
Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp
Kardinali Pengo na waumini wengi wengine.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akipokea Sakramenti Takatifu wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa la
Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa na
Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia na
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp
Kardinali Pengo na waumini wengi wengine.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa
na Mwenyekiti wa Paroko ya Oysterbay Dkt. Adelhelm Meru wakisali baada
ya kupokea Sakramenti Takatifu wakati wa ibada ya Pasaka katika Kanisa
la Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam. Ibada hiyo, ambayo imeongozwa
na Paroko wa Parokia ya Oysterbay Padre Asis Mendokta, imehudhuriwa pia
na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Polycarp
Kardinali Pengo na waumini wengi wengine.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimuamkia Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama
Polycarp Kardinali Pengo baada ya ibada ya Pasaka katika Kanisa la
Mtakatifu Petro jijini Dar es salaam leo Jumapili Aprili 16, 2016.
No comments:
Post a Comment