Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM),
Gaudencia Kabaka kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu
jijini Dodoma Oktoba 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM),
Gaudencia Kabaka (kulia kwake) na ujumbe wake, Ofisini kwake mjini
Dodoma Oktoba 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment