Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili nchini Rwanda
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana
na Mwenyekiti wa Bodi ya Maendeleo ya Rwanda, Francis Gatare alipowasili
katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kigali, Rwanda kwa ajili ya
kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi wanachama wa
Umoja wa Afrika (AU). Makamu wa Rais anamwakilisha Rais Dkt. John
Magufuli katika mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
akiongozana na Mwenyekiti wa Bodi ya Maendeleo ya Rwanda ,Francis Gatare
mara alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kigali kwa
ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na SerIkali wa nchi
wanachama wa Umoja wa Afrika (AU). Makamu wa rais anamwakilisha Rais
Dkt
John Magufuli Katika Mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan
akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Maendeleo ya Rwanda,Francis Gatare
kwenye Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Kigali, Rwanda mara baada ya
Kuwasili nchini humo kwa ajili ya Kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na
Serikali wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU). Makamu wa Rais
anamwakilisha Rais Dkt John Magufuli katika Mkutano huo. (Picha na OMR).
No comments:
Post a Comment