Saturday, 30 July 2016

Amani Alfred Naburi ameshinda shindano la insha lijulikanayo kama “Lugha nyingi, Dunia Moja

 

Mwanafunzi wa  Kitanzania, Amani Alfred Naburi
Mwanafunzi wa Kitanzania, Amani Alfred Naburi, ni mmoja wa kati ya wanafunzi 60 kutoka Vyuo Vikuu mbalimbali duniani ambao wameshinda shindano la Insha lijulikanayo kama “Lugha nyingi, Dunia Moja” ( Many languages, One World) lililoandaliwa kwa ushirikiano baina ya United Nations Academic Impact ( UNAI) na ELS Educational Services, Inc.


Naburi ni Mtanzania anayesoma Chuo Kikuu cha African Leadership, huko Mauritius na walitakiwa kuandika kwa lugha sita zinazotumika na Umoja wa Mataifa. Lugha hizo ni Kiingereza, Kifaransa, Kiarabu, Kichina, Kispanishi na Kirusi

No comments:

Post a Comment