
Saudia inatarajiwa kuwapatia bangili
za kielektroniki mahujaji wanaoelekea Mecca kwa Hajj ya mwaka huu
ambalo ni kongomano kubwa la Waislamu kutoka kote duniani.
Hatua
hiyo inafuatia mkanyagano uliotokea mwaka uliopita ambapo zaidi ya
mahujaji 750 wanaaminikia kuuawa huku wengine 900 wakijeruhiwa.
Takriban kamera 1000 pia zimewekwa.

Bangili hizo zitakuwa haziingii maji na zitaunganishwa na programu ya ramani.
No comments:
Post a Comment