| Waziri wa kilimo , mifugo na uvuvi Bw Mwigulu Nchemba akipokelewa na wananchi wa kata ya Tulia jimboni kwake Iramba |
| Waziri Mwigulu akilakiwa na wapiga kura wake wakati wa mikutano yake ya kuwashukuru |
| Waziri Nchemba akiwapungia mikono wananchi wake |
| waziri Nchemba akiteta jambo na mmoja kati ya walemavu katika kata ya Tulia jimboni Iramba |
| Waziri wa kilimo ,chakula na uvuvi Bw Mwigulu Nchemba akitangaza kuwasimamisha kazi viongozi wa bodi ya maji Mingela Iramba kwa ufisadi wa mamilioni ya maji |
No comments:
Post a Comment