Mgombea Urais nchini Marekani Donald Trump amesema atabaki na Msimamo wake wa
kumtetea Mike Tyson kuwa Hajawahi kumbaka Mtu na kwamba sio Mbakaji.
Wampinzani
wa Donald Trump wametumia kesi ya ubakaji ya mwaka 1992 ya Bondia Mike
Tyson ambapo Donald Trump alimtetea Mpiganaji huyo.
Donald amejibu kwa kusema “Sababu
Mike Tyson amenikubali na kuliweka wazi jambo hilo Mitandaoni, basi
ishakuwa issue, Sijaonana Na Mike kwa miaka Mingi Sasa ila yeye kafanya
hivyo kuonyesha Anakubali nachosema”
No comments:
Post a Comment