Thursday, 12 May 2016

Tigo kuwalipa AY na Mwana FA bilioni 2.18 kwa kosa la kutumia nyimbo kwenye mwitikio bila mkataba wowote

 
 
 

Mahakama ya Hakimu mkazi Ilala imeiamuru kampuni ya mawasiliano Tigo, kuwalipa shilingi bilioni 2.18 marapa Mwinjuma 'MwanaFA' na Ambwene Yessaya 'AY', kwa kosa la kutumia nyimbo yao kama Caller Tune(Mwitikio wa simu) bila ruhusa wala mkataba.

Hukumu ya kesi hiyo iliyodumu kwa miaka 4 ilitolewa na hakimu mkazi wa mahakama hiyo  Juma Hassan. 

Ay na MwanaFA waliomba mahakama iwaamrishe Tigo kulipa fidia ya Billion 4.3

No comments:

Post a Comment