Raia wa Kenya ameolewa na mwanaume mwenzake kutoka Marekani
Mwanaume mmoja raia wa Kenya, Ben Gitau ameolewa na mwanaume mwenzake ambaye ni Profesa wa hesabu huko Jimbo la Michigan.
Ndoa za jinsia moja zimekuwa zikikithiri katika nchi mbali mbali Duniani ikiongozwa na Uingereza.
Ben Gitau na Steve Damelin walioana siku ya Jumamosi ya wiki iliyopita
No comments:
Post a Comment