Akizungumza Madee amedai Mb Doggy alikosea kuondoka Tip Top kwa kuwa alikuwa chini ya Mikono sahihi.

“Mimi kitu ambacho Nitaendelea kumlaumu Mb Doggy ni kuondoka Tip Top, Unajua Unapokuwa kwenye Malezi ya Baba na Mama mmoja hata Maadili ni yale yale, Unapoenda
Sehemu Nyingine Unakutana na Vitu vipya, alafu si Tulikuwa Tukitoa nyimbo Babu tale ndiyo Anaenda kushughulika kila kitu kupeleka Radio na Vitu Vingine, sasa hakuwa na Menejimenti kila kitu alikuwa akifanya Yeye Baada ya kutoka nahisi ndiyo Maana akashindwa” Alisema.
No comments:
Post a Comment