Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi
na Wadau wa mkoa wa Dodoma kwenye mkutano wa kazi ambapo Taarifa ya
Awali ya mkoa wa Dodoma na utekelezaji wa uamuzi wa Serikali kuhamia
Dodoma iliwasilishwa katika ukumbi wa Ofisi ya Rais TAMISEMI. (Picha na
Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment