Tuesday, 14 March 2017

Pro. Jay:Nimewasamehe waliopinga ubunge wangu


March 13 2017 kupitia ukurasa wa instagram, Mbunge wa Jimbo la Mikumi Pro. Jay amesema kuwa amewasamehe wasanii waliokwenda jimboni kwake kumpinga ubunge wake kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2015.
>>>”Nilishawasamehe Wasanii wenzangu waliokuja jimboni kupinga Ubunge wangu, Mabasi na Mabasi Jiongezeni wanangu,Asante wana MIKUMI kwa kuwa na Imani kwangu๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™ #KIBABE (The ICON )” :-Prof Jay

No comments:

Post a Comment