Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
Mkewe Mary wakizungumza na Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed
Gharib Bilali wakati walipokwenda nyumbani kwake eneo la Mbweni ,
Zanzibar januari 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
na Mkewe Mary wakisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Salmin
Amour wakati walipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kilimani, Zanzibar
Januari 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Salmin Amour wakati
alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kilimani, Zanzibar Januari 10,
2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
mkewe Mary (watatu kushoto) wakizungumza na Makamu wa Rais Mstafu,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal na wake zake, Mama Zakia Biala (kushoto) na
Mama Asha Bilal wakati walipowatembelea nyumbani kwao eneo la
Mbweni, Zanzibar Januari 10, 2017. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
mkewe Mary (wapili kulia) wakiagana na Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal na wake zake, Mama Zakia Biala (wapili kushoto)
na Asha Bilal (watatu kulia) wakati walipowatembelea nyumbani kwao
eneo la Mbweni, Zanzibar Januari 10, 2017. (picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Salmin Amour wakati
alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kilimani, Zanzibar Januari 10,
2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary
Majaliwa akizungumza na wake za Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, Zakia (kushoto na Asha (katikati) wakati yeye na
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa walipoitembelea familia ya Dkt. Bilal ,
eneo la Mbweni Zanzibar, Januari 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Mbweni, Zanzibar Januari
10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary
Majaliwa (kulia) akizungumza na Mama Azza Salmin, Mke wa Rais Mstaafu
wa Zanzibar, Dkt. Salmin Amour wakati yeye na Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa walipoitembelea familia hiyo eneo la Kilimani Zanzibar Januari
10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
mkewe Mary (wapili kulia) wakiagana na Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal na wake zake, Mama Zakia Biala (wapili kushoto)
na Asha Bilal (watatu kulia) wakati walipowatembelea nyumbani kwao
eneo la Mbweni, Zanzibar Januari 10, 2017. (picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
Mkewe Mary wakizungumza na watoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt.
Salmin Amour, Yussuf (kushoto) na Amour wakati alipomtembelea Rais huyo
Mstaafu na familia yake eneo la Kilimani Zanzibar, Januari 10, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment