
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
akimkabidhi zawadi Kiongozi wa Msafara wa Wabunge kutoka Bunge la
Ujerumani Mhe. Jens Koeppen. Anayeshuhudia kulia ni Naibu Spika wa Bunge
Dkt Tulia Ackson.Wabunge hao walimtembelea Spika ofisini kwake leo
Jijini Dar es Salaam
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
akipokea zawadi Kutoka kwa Kiongozi wa Msafara wa Wabunge kutoka Bunge
la Ujerumani Mhe. Jens Koeppen. Wabunge hao walimtembelea Spika ofisini
kwake leo Jijini Dar es Salaam
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
akimsikiliza Kiongozi wa Kiongozi wa Msafara wa Wabunge kutoka Bunge la
Ujerumani Mhe. Jens Koeppen (wa pili kushoto) waliomtembelea Spika
ofisini kwake leo Jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kulia ni Naibu Spika
Dkt Tulia Ackson na wa Kwanza kushoto ni Balozi wa Ujerumani nchini Bw.
Egon Kochake.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
akiagana na Kiongozi wa Msafara wa Wabunge kutoka Bunge la Ujerumani
Mhe. Jens Koeppen waliomtembelea Spika ofisini kwake leo Jijini Dar es
Salaam. Anayeshuhudia wa kwanza kulia ni Naibu Spika Dkt Tulia Ackson na
wa Kwanza kushoto ni Balozi wa Ujerumani nchini Bw. Egon Kochake.
Spika wa Bunge (wa pili kutoka
kulia kwa walio kaa) akiwa katika picha ya Pamoja na Wabunge la
Ujerumani waliomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. Wengine
katika picha kutoka kulia ni Naibu Spika Dkt Tulia Ackson, Kiongozi wa
Msafara wa Wabunge kutoka Bunge la Ujerumani Mhe. Jens Koeppen na Balozi
wa Ujerumani nchini Bw. Egon Kochake.
No comments:
Post a Comment